Naweza kufanyaje ili niweze kurogwa?

Naweza kufanyaje ili niweze kurogwa?

Mleta mada naomba jibu swali langu kwanza.

Je wewe ni mwamini wa Imani gani?

Au siyo mwamini?

Kama utakuwa siyo mwamini utaeleweka kirahisi katika kuchangia uzi wako.

Tafadhali jibu kwanza
 
Kuna Anti yangu mganga Zanzibar Tafadhali naomba jina lako Lakwanza na Lamama ako Mzazi 24 hrs tu utapata jibu nimtumie namwambia akutumie popobawa ndo utajua duniani kuna mengi maana unaomba visivyo ombwa.
 
Tembea na slayqueen muonge pesa alafu muache tembea na rafiki yake..uone kifurushi utakachpata
nadhani atapewa kile kifurushi cha pindua pindua toka Vodacom
 
Toka nimezaliwa nasikia kuna uchawi, ulogi na mambo kama hayo, sijawahi kushuhudia wala mtu yoyote kuniambia ameshuhudia zaidi ya kua ni hadithi za kuambiwa na mambo ya kihisia tu.

Ni muda sasa natamani kurogwa ila sijapata mtu wa kuniroga. Nakumbuka miaka flani nimewahi kukuta watu usiku wakioga barsbarsni nikawatandika makofi na kuwaamuru wakalale nyumbani, nikategemea nitarogwa wapi, kuna kipindi nilienda Sumbawanga kwa bahati nzuri nikagombana na mzee mmoja aliekua anadaiwa kua ni mchawi, nikategemea kurogwa wapi, na mambo kama hayo mengi ila bado sirogwi. Nimeomba sana anaewajua wachawi awaambie nataka kurogwa lakini wapi.

Sasa naomba kuuliza nafanyaje ili nirogwe, nimpite miti mzee anaedaiwa kua mchawi au nifanyeje? Anaewajua wachawi awaambie niko tayari kurogwa.

Nenda Tanga kaibe mbuzi wanaojitembeza wenyewe barabarani bila uangalizi wowote
 
Tafuta mganga au mchawi maarufu kwenye mazingira uliyopo alafu umchapie mke wake.. .utatuletea mrejesho soon
 
Kama kawaida uzi wa hovyo unapata comments nyingi pamoja na matatizo yote haya..wabongo bhana....mtu ukiandika kuhusu shida ya afya,elimu, uchumi na anguko la biashara nchini watu wachangie na kupambanua mawazo utapata watu kumi tu!..hiki chama kimetuharibu sana aisee
 
Toka nimezaliwa nasikia kuna uchawi, ulogi na mambo kama hayo, sijawahi kushuhudia wala mtu yoyote kuniambia ameshuhudia zaidi ya kua ni hadithi za kuambiwa na mambo ya kihisia tu.

Ni muda sasa natamani kurogwa ila sijapata mtu wa kuniroga. Nakumbuka miaka flani nimewahi kukuta watu usiku wakioga barsbarsni nikawatandika makofi na kuwaamuru wakalale nyumbani, nikategemea nitarogwa wapi, kuna kipindi nilienda Sumbawanga kwa bahati nzuri nikagombana na mzee mmoja aliekua anadaiwa kua ni mchawi, nikategemea kurogwa wapi, na mambo kama hayo mengi ila bado sirogwi. Nimeomba sana anaewajua wachawi awaambie nataka kurogwa lakini wapi.

Sasa naomba kuuliza nafanyaje ili nirogwe, nimpite miti mzee anaedaiwa kua mchawi au nifanyeje? Anaewajua wachawi awaambie niko tayari kurogwa.

Hujasema urogwe uwe nini??!, urogwe uwe kichaa, uvimbe tumbo, jinsia yako ibadilike kwa muda au ufe ??!!, ulogwe kivipi??
 
Back
Top Bottom