The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Toka nimezaliwa nasikia kuna uchawi, ulogi na mambo kama hayo, sijawahi kushuhudia wala mtu yoyote kuniambia ameshuhudia zaidi ya kua ni hadithi za kuambiwa na mambo ya kihisia tu.
Ni muda sasa natamani kurogwa ila sijapata mtu wa kuniroga. Nakumbuka miaka flani nimewahi kukuta watu usiku wakioga barsbarsni nikawatandika makofi na kuwaamuru wakalale nyumbani, nikategemea nitarogwa wapi, kuna kipindi nilienda Sumbawanga kwa bahati nzuri nikagombana na mzee mmoja aliekua anadaiwa kua ni mchawi, nikategemea kurogwa wapi, na mambo kama hayo mengi ila bado sirogwi. Nimeomba sana anaewajua wachawi awaambie nataka kurogwa lakini wapi.
Sasa naomba kuuliza nafanyaje ili nirogwe, nimpite miti mzee anaedaiwa kua mchawi au nifanyeje? Anaewajua wachawi awaambie niko tayari kurogwa.