Naweza kufanya nini na hizi IP?

Naweza kufanya nini na hizi IP?

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
3,211
Reaction score
996
Watu/mtu kwa wenye IP address hizi hapa chini wamejaribu kutaka kuingia/ku-log in kwenye website yangu (fadhilipaulo.com) mara 12 na mara zote wameshindwa lakini nimedaka IP address zao, je naweza kuwapata au naweza kushughurika na lolote na hizi IP?

IP
222.254.107.116
root (1 lockout)
123.30.9.165 a
aa (1 lockout)
212.26.46.95 a
dmin (1 lockout)
89.209.110.226 a
dmin1 (1 lockout)
118.179.31.165
administrator (1 lockout)
109.87.220.52
manager (1 lockout)
59.152.138.34
qwerty (1 lockout)
95.32.90.100
root (1 lockout)
193.110.17.226
support (1 lockout)
36.232.116.161
sysadmin (1 lockout)
113.190.34.176
test (1 lockout)
113.179.225.180
user (1 lockout)
 
Imarisha security kwenye site yako, block access from those IPs. Kuwatafuta na kuwapata unaweza lakini as long as walijaribu hawajafanikiwa na hivyo hakuna madhara walifanya, hata ukiwapata hutakuwa na vigezo vya kutosha kuwashitaki.
 
Hicho ni kitu cha kawaida kwenye website yoyote, nina wordpress blog inapata hundreds of login attempts per day. Usihangaike kujaribu kuwatafuta wala kublock hizo ip, tumia password imara tu.
 
Back
Top Bottom