Naweza kuchemshia chai ya maziwa kwenye heater?

shabaan Dogo

Senior Member
Apr 27, 2014
197
79
Habari ndugu na jamaa

Naomba kuuliza na kupewa mwongozo kuhusu Matumizi ya hita, je! Unaweza kuchemshia chai au maziwa kwenye hita au ni maalum kwa maji tu.

IMG_20220701_101144.jpg
 
Hiyo kitu nimenunua hata miezi sita haijafika,imeharibika sijui shida ni nini,nilioshaga nikaiweka jana nahitaji kuitumia nawasha haiwaki.
 
Lolote linawezekana mkuu, enzi za pasi za mkaa watu tulipiga nguo pasi kwa kutumia birika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom