Naweza kuchaguliwa kwenda a'level

Jun 10, 2013
11
0
Jaman wakuu zangu naomba mifahamishe kama kama naweza chaguliwa kwenda a'level ktk government shool kwa matokeo haya CIV-C HIST-D KISW-C ENG-C GEO-D CHEM-D BIO-D MATH-D ni dv 3 ya 25 nitashukuru sana wakubwa zangu.
 
unaulidha makof kwa polisi 3 weeks remains ushanunua tranka na godoro? Anza maandaliz 2gother we are
 
Jaman wakuu zangu naomba mifahamishe kama kama naweza chaguliwa kwenda a'level ktk government shool kwa matokeo haya CIV-C HIST-D KISW-C ENG-C GEO-D CHEM-D BIO-D MATH-D ni dv 3 ya 25 nitashukuru sana wakubwa zangu.

yan hapo comb itakayopewa first priority ni hkl kwa 7b ndo ina point nyingi
 
kama mdogo wangu ...sema tuu hizo c alizopata ni ya History, bios na chemistry.
 
kama mdogo wangu ...sema tuu hizo c alizopata ni ya History, bios na kiswahili
 
Jaman wakuu zangu naomba mifahamishe kama kama naweza chaguliwa kwenda a'level ktk government shool kwa matokeo haya CIV-C HIST-D KISW-C ENG-C GEO-D CHEM-D BIO-D MATH-D ni dv 3 ya 25 nitashukuru sana wakubwa zangu.

Mkuu Edwini, anza maandalizi kabisa, nina imani wote waliofaulu mwaka huu III-25 kupanda juu hamna atakayekosa nafasi ya kwenda Advance coz hata ufaulu wenyewe si umeuona mwaka huu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom