Pure Scientific
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 716
- 644
utachoka bure, kusoma sio vita. pumzika
Amna tatzo
utachoka bure, kusoma sio vita. pumzika
Unamaanisha NINI?
mbona naambiwa ni ngumu inahitaji maandalizi ya kutosha
Hakuna ugumu mbele ya maandalizi. Tatizo huwa ni muda kuwa mchache na mambo ya kusoma kuwa mengi, kama kuna uwezekano nakushauri KWA SAUTI KUBWA uanze sasa hivi.
Ukifika shuleni kazi yako itakuwa ni kupalilia tu na si kulima tena, huku ukisubili wakati wa mavuno(Nadhani hapa unenielewa)
Hii itakusaidia katika kuhakikisha kuwa
"The more often you revise the better will be your memoryi"
Duh una mudhuka!
Mkuu,
Kwanza hongera kwa kusoma PCB.
Ushauri wangu, soma sana Physics na Chemistry (high priority). Ukifanya hivi una chance kubwa ya kupata A kwenye masomo haya.
Ukisoma yote matatu kwa uzito unaolingana una chance kubwa ya kupata wastani au chini ya wastani na hivyo kuathiri matokeo yako ya jumla.
Tafakari.
lakini kwa nin nisiipe uzito zaidi biology na chemia kwanza na matokeo yakitoka nipige phy
sasa usome wakati matokeo bado mbona una kihelehele we kijana je kama umefeli? subir matokeo yatoke ndo ujue we unaweza nunua nguo za mtoto wa kiume wakati mimba changa je akizaliwa wa kike? subir matokeo tatizo vijana BRN