Richmoto Kushmoto JF-Expert Member Joined Jan 18, 2021 Posts 549 Reaction score 561 Sep 9, 2021 #1 Habari za leo wakuu niko namiliki samsung yangu A02 ilipata ajali kwahiyo kwenye camera kuna ufa inaingiza uchafu mwingi sana kiasi kwamba hata picha haitoi vizuri nataka kubadili Camera Je Naweza Badili Nikaweka camera ya Simu nyingine Wazee
Habari za leo wakuu niko namiliki samsung yangu A02 ilipata ajali kwahiyo kwenye camera kuna ufa inaingiza uchafu mwingi sana kiasi kwamba hata picha haitoi vizuri nataka kubadili Camera Je Naweza Badili Nikaweka camera ya Simu nyingine Wazee
Walec JF-Expert Member Joined Apr 22, 2017 Posts 1,364 Reaction score 3,407 Sep 9, 2021 #2 Unaweza badili na kuweka nyingine ya simu hiyo hiyo