General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Alivyosema Lowassa Magufuli hana dira watu hasa ccm walimjia juu na kejeli nyingi na matusi juu.
Sasa inadhihirika wazi kwamba tanzania kuwa nchi ya viwanda chini ya Magufuli ni ndoto za alinacha.
Ukimtazama Magufuli anaonekana anannia ya dhati ya kuifanya tanzania kuwa ya viwanda lakini ukichunguza serikali yake anavyoiendesha unaona wazi kuwa hakuna jipya atakalo lifanya zaidi ya kutumbua majibu na kujenga barabara.
Magufuli hakuwahi kuwa mfanya biashara, Magufuli hajui uchumi, magufuli anafanya kazi kwa hisia.
Magufuli huyu atakuja 2020 na kampen yake hii hii ya viwanda na sijui km kuna atakae muuliza viwanda gani kavijenga au kuvifufua.
Magufuli hana strategies za kumwezesha mjasiria mali na mfanyanya biashara kuendeleza biashara zake zaidi ya kukomaa na kodi.
Safu ya uongozi kuanzia mawaziri mpaka wakurugenzi wa mashirika na taasisi za serikali wanaendeshwa na mihemko, wote hawana dira na nchi hii.
Naomba uzi huu ukumbukwe 2020 humu hata km nikiwa sipo dunia hii lkn niheshima kubwa kuyaona haya.
Magufuli going to do nothing, Magufuli going to fail.
Ibilisi 2016.