Mkuu Remmy usiseme hivyo ndugu yangu hayajakukuta,unaweza jikuta unamwambia wife apitepite mitaani angalau arudi na chochote.Huyo ndugu ni katika kutafuta urahisi wa kupata pesa ndio unamuona anashuka kiasi hicho.