OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,238
- 103,910
Inshallah tusubiri dk 180 ziamueKwa hisani ya gugo.....
The name Hilāl is the Arabic word for crescent – a name chosen on a night when the crescent of the moon was visible in Omdurman. Also it is the first club in the world to be named (AL- HILAL).
On top, tukiweka records za team kwa team aisee jamaa wako mbali na Yanga wana mlima mrefu wa kuupanda ingawa huwezi jua mpira dk 90 ndani ya uwanja na mengine nje ya uwanja. Records za michuano hii zinaibeba Omdurman na pia uwanja wao unapakia 60000....na mashabiki wao Oya Oya za kutosha acha wetu akipigwa chenga mchezaji na tukifungwa au kusawazishiwa tunapoa kupoa.
Mie Mnyama ila Nawatikia kila la heri
kufika makundi tu watatutukana baba zaoAh mkuu mi nataka wavuke
Kama mtani wao mm nataka wavuke
Wakishaingia makundi ndo safi
Pale ukifungwa hutoki baada ya mechi mbili
Wanajipakulia weeeeeee sisi tunaenjoy wanajipakulia weeee sisi tunaenjoy bar kuangalia uto
Mpaka mechi zote za makundi zikiisha watu tumeneemeka vya kutosha
Hizo hela toa sadaka kama huna kazi ya kuzifanyia.Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Ah 😁😁😁😁kufika makundi tu watatutukana baba zao
Una haingaika tu bado, yaani ule uzi ulianzisha hukutosheka nao tu?Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Nawaonea huruma sana Yanga kukutana na jiwe ambalo hata wao walikuwa wanaomba usiku na mchana wasipite hili chocho. Baadhi wanajipa faraja kutokana na ufasini wa Simba Sc kimataifa wakidhani ni kazi rahisi.
View attachment 2361516
Tathmini niliyofanya inaniambia Utopolo imefika mwisho, hivyo ijiandae na Confederation Cup.
Kama mtu nayejiamini naweka dau la laki 3. Utopolo wakitoboa nitatoa kwa member au members watakao weka dau na mimi. Moderator wanaweza kusimamia show nzima ya dau.
Kwa hiyo nyie hambishi kama mnafungwa?Wewe si ndiyo unabisha? Basi weka wewe mwenyewe Yanga sc ikipita hizo hela zipeleke klabuni wataxipokea.
Wewe ni mkongwe humu,huitaji kufunzwa consistency
Hata mimi nataka, ila najua hawana uwezoAh mkuu mi nataka wavuke
Kama mtani wao mm nataka wavuke
Wakishaingia makundi ndo safi
Pale ukifungwa hutoki baada ya mechi mbili
Wanajipakulia weeeeeee sisi tunaenjoy wanajipakulia weeee sisi tunaenjoy bar kuangalia uto
Mpaka mechi zote za makundi zikiisha watu tumeneemeka vya kutosha
Yaani kuna watu wajinga sijapata kuona. Hiyo timu inavyopigiwa upatu utadhani ni tishio, lakini kama una akili timamu unajua hata kufuzu kwao hatua hii wamepata taabu kweli, ushindi mwembamba wala sio kitu cha kutisha. Sema kuna watu wamejaliwa midomo michafu nyenye kuwashwa kutema shombo.Una haingaika tu bado, yaani ule uzi ulianzisha hukutosheka nao tu?