MH kama hukuifanyia tracking system, kwa ku insatall itakuwa ngumu,ila kwa faida ya wengine wenye samsung, kalibu aina zote , ingia kwenye setting, then security, chini kabisa utakuta kumeandikwa mobile tracker, ukifungua itakuomba password, samsung zote default password ni 00000000, vizuri uibadilishe, hapo utaombwa uingize namba za simu mbili za watu wako wa karibu. then save.
nini kinatokea simu hiyo ikiibiwa mtu atakapo weka laini yake ile namba anayotumia inatuma sms automaticaly kwenye zile namba mbili hivyo inakuwa rahisi kujua nani anaitumia simu yako kwa wakati huo.zingatia hata wewe mwenyewe ukiweka kinyume na ile laini yako uliyosetia pia itakuwa inatuma sms kila inapow
ashwa.