Sasa maisha magumu ndio ukane mkuu?Dah pole sana ila umefika mbali sana kuuwa ujue inawezekana kabisa anafanya hivyo sababu ya maisha yalivyo magumu
Huu ni mshahara wa mtu na anasurvive mwezi mzima250, 000/ hadi kisu?
Tatizo na binti nae utahonga, sasa deni halitalipizwa.Me pia kuna mama aliniomba nimkopeshe 100000, lakin kila siku ananipiga tarehe mpaka nimeamua kupotezea.
Ila ana binti mzuri sana, nimepanga siku moja nimle kimasihara, nadhani ndio itakuwa Revenge yangu.
Please do not quit bwanaa! Hivi Tz ni nchi ya ngapi kutoka chini kwa kiwango cha umasikini?Jf ina watu masikini sana sasa 250000 ndio ugonvi wa kuleta humu kweli!!!???
ndio maana nafikiria Ku quite Jf kuna watu duni mno hata mawazo yao yatakuwa yamedumaa
Jf ina watu masikini sana sasa 250000 ndio ugonvi wa kuleta humu kweli!!!???
ndio maana nafikiria Ku quite Jf kuna watu duni mno hata mawazo yao yatakuwa yamedumaa
Kama aliweza kukutapeli maana yake aliona anakumudu.. yaan kakushinda akil.. tegemea kutomfanya chochote ndugu.. ishort humuwez huyo mwamba.Aisee jamaa nimemkabidhi kabisa 250000 then anakuja kunikana. I will slaught him
Ndio kama vile nishasepaMkuu we quiet tu haina shida kabisa.
Mimi ninakuonea huruma, unaweza ukaikosa hiyo pesa, na ukaozea jela. Usimpe shetani nafasi.Ushauri mzuri sana. Naomba wewe unilipe hiyo pesa badala yake. Kam ni jambo rahisi kusamehe 350k. Roho yangu inakataa hiyo hela lazima ailipie hata kwa damu
Haya ndo madhara ya mitandao.Kill him. Pesa saivi ni ngumu jamaa yangu. Dont leave him alone.
Just gives him happy death
Akiendekeza ujinga huu ataishia pabaya mwenyewe peke yake.Haya ndo madhara ya mitandao.
Nikwambie kitu?Aisee jamaa nimemkabidhi kabisa 250000 then anakuja kunikana. I will slaught him
Mimi nataka nijitoe JF sababu ya wasomi wasiojua kiingereza,mtu anasema Quite akimaanisha Quit.Jf ina watu masikini sana sasa 250000 ndio ugonvi wa kuleta humu kweli!!!???
ndio maana nafikiria Ku quite Jf kuna watu duni mno hata mawazo yao yatakuwa yamedumaa
Mfate mara42 atakuelewa,uki slaughter utaishia jela na hata kulipwa kamwe🤔Aisee jamaa nimemkabidhi kabisa 250000 then anakuja kunikana. I will slaught him