Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,940
cocaine ina hela nyingi sana na DRC ina kila hali ya kufaa kusitawisha Coca. Ni nchi ya kitropical yenye mvua nyingi, ina misitu mikubwa, imejaa rushwa na haina ulinzi wa kutosha/kueleweka. kwanini hawalimi hii kitu ya hela nyingi?
nchi ambazo coca inaweza kusitawi.
nchi ambazo coca inaweza kusitawi.