Wewe ni mke wa mtu! Mchana umetoroka kazini ukaenda kuchepuka kwenye hotel X. Wakati mkiwa ndani mnafanya yenu huku nje wamekuja polisi wakazungushia utepe kwenye hotel kwani inasadikika kuna mgonjwa wa covid alilala hapo, hivyo hamtaruhusiwa kutoka hadi siku 14 ziishe!! Je utajieleza vp kwa mumeo!?
Je kama wewe ndio uliyekuwa na mke wa mtu ungefanyaje!??