Nawaza kwa sauti hivi:-

nditolo

JF-Expert Member
Jul 2, 2011
3,718
4,256
1. Ni ma DED wangapi, DC's wangapi, RAS's wangapi, DAS's wangapi, RC's wangapi na wakurugenzi wa mashirika na taasisi, wakuu wa idara na makamishina wa taasisi wangapi waliotenguliwa teuzi zao na wanaendelea kulipwa stahili zao.
2. Na je kuna taarifa kuwa kutokana na teuzi zisizozingatia vigezo serikali inaingia gharama kiasi gani?

Naombeni mwenye taarifa atupe details ikiwezekana na kiasi cha pesa zinazopotea kila mwezi.

NAWAZA TU KWA SAUTI.
 
Uncle wangu alikua ded, baada ya kutenguliwa amepelekwa ofisi ya mkuu wa mkoa. marupurupu yote ya ukurugenzi yameondolewa kabakiwa na mshahara wake tu million 3 na ushee maisha yanaendelea. Mleta mada hapo utaona kuna watumishi zaidi ya mia wanalipwa mishahara mikubwa kuliko nafasi wanazozitumikia ila sio makosa yao iyo ni mishahara yao binafsi inalindwa kisheria kabisa.
 
Ni sawa mkuu jipu, Je na hawa waliopandishwa nyazifa mpya unasemaje? Maana ni gharama na hakuna kipya wanachofanya ambacho waliotenguliwa walishindwa kufanya.
 
Na je wana majukumu gani kama sio kusoma magazeti tu na kusubiri mishahara mwisho wa mwezi
 
  • Thanks
Reactions: ATA
Back
Top Bottom