mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Apr 18, 2014 Thread starter #21 mende 2014 said: Wewe utaliwa hao ni wezi kama wale wa Facebook na ukishakubaliana nao watakuomba account no yako halafu wanakomba kila kilichopo. Chukua tahadhari. Click to expand... Asante mkuu
mende 2014 said: Wewe utaliwa hao ni wezi kama wale wa Facebook na ukishakubaliana nao watakuomba account no yako halafu wanakomba kila kilichopo. Chukua tahadhari. Click to expand... Asante mkuu
Bikirembwe63 Member Joined Apr 3, 2014 Posts 78 Reaction score 21 Apr 20, 2014 #22 Ukiendelea na mawasiliano mwisho utaambiwa ugharamie gharama fulani.Hao ni matapeli.