BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Nawauliza mlioko katika serious relationships, akina dada naanza nao,, je inaweza kupita saa, siku, wiki bila kumtumia mwenza wako labda msg ama hata kumpigia tu simu kumwambia how you feel about him,and all that sweet love words and lovely talks and conversesion over the phone, malengo yenu, kuoana or maybe kuanzisha familia, and unafikiri majibu ama response anayokupa unaridhika?? Mfano majibu ya "nashukuru dear", "haya asante dear", na majib mengine ambayo ni ya "short and simple" je hua ni sahihi?? Na pia the same question nawauliza wanaume wenzang kua ni sawa?? Karibun.