Nawatakieni Kwaresma Njema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawatakieni Kwaresma Njema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdondoaji, Mar 10, 2011.

 1. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndugu zanguni wakristo,

  Katika kudumisha umoja na mshikamano katika jamii. Najua hiki ni kipindi adhimu na kitakatifu naomba kuchukua fursa hii kuwatakieni Kwaresma njema.
   
 2. Wed

  Wed JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 60
  Asante nami nakutakia pia mafungo mema !

  Kwangu hiki ni kipindi kizuri cha kuto-jifikiria binafsi bali kuweka manufaa ya Tanzania mbele.
  May God bless all who fight for better life in Tanzania. May He give us more courage to fight for more justice and for an open society where every Tanzanian will find our beloved country a better place to live !!
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mdondoaji sisi Waislam Je?
   
Loading...