Napenda kuchukua nafasi hii kuwatakia summer njema wadau wote walioko ughaibuni. Hiki ni kipindi sasa cha kufurahia hali ya hewa kama uko TZ vile. Ukipita huko mitaani sasa barbecue kwa sana. Parks na open spaces zimechafuka kwa sasa wazungu wa kike na kiume wako wanajianika juani.
Kwa wale watakaokuwa wanasafiri kwenda vacation sehemu mbalimbali ninawatakia safari na vacation njema.