Mwinjilist mtume nabii
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 2,437
- 1,099
Nachukua Nafasi Kuwatakia J.Pl Na Ibada Njema Wana Jf Wote, Kama Hukupata Nafasi Cku Za Katikati, Basi Leo Ni Cku Yako. Na Useme Kama Unaenda Knsn Na Wapi. Amebarikiwa Amkumbukae Muumba Wake Wakati Ujana Wake, Mungu Wa Mbingun Awabariki