Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
ahhh historia gani unazungumzia?Alhamdulullaah, nadhani imekuwa ni historia katika uislam, kufunga pamoja na kula Eid pamoja, huu ni muunganiko alioupanga Mwenyezimungu
.... walio katika dhiki za ukandamizwaji, vita, njaa na machafuko huko Afghanistan, Iraaq, Sudan, Somalia, Chechnya, Bosnia-Herzegovina, Kosovo, Philippine, Nigeria, Ethiopia, Eritrea, Kashmir ....
...bila kuwasahau wenzetu katika du'aa zetu leo na kila siku....pote walipo *Waislamu ulimwenguni.Pemba je? (charity starts at home)