Nawatakia EID Mubarak | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nawatakia EID Mubarak

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Barubaru, Sep 18, 2009.

 1. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  EID MUBARAK


  We hope you, your family and your dear ones experienced a peaceful and an enriching blessed month of Ramadhân. May Almighty accept all your good deeds during the holy month that just completed and grant you success in this world and in the hereafter.

  Ramadhân has been indeed a month of blessings and mercy. A month of spirituality, a month of experiencing Almighty's eternal love for HIS creatures.. We experience the love of Almighty through the love of HIS creatures.. Our love of fellow human beings brings us the closer to the source of all love, the Almighty . We grow closer to HIM by reaching out to each other thus becoming both receivers and transmitters of HIS infinite radiance. Thus we are drawn and we draw others to the source of all that is beauti­ful, the Almighty.  Inshallah this Eid we not only love one another in HIS name but also feel and share the pain of our fellow earthly citizens. Human beings have been created different. Yet, as the Holy Qur'an teaches us, our origins are the same. Please let us pray for our brothers and sisters around the world who are victims of tragedies. Let us offer a helping hand to those in need.  We pray to the Almighty to shower His infinite mercy and blessings on you, your families and dear ones.

  With Salaams and Duas

  Dr Hamza Yousuf Al Naamani & family.
  H/se No 235, Quwais rd.
  Al Kheweis
  Doha. Qatar
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,920
  Likes Received: 23,558
  Trophy Points: 280
  Minal faidhina, ukiona kimya ujue mambo si shwari.
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nawatakia Eid Mubarak Wote.

  SteveD.
   
 4. B

  Bwamdogo Member

  #4
  Sep 18, 2009
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Minal faaidhiyn, wakul aam wa-antum bikheyr
   
 5. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Ina maana libeneke la kufuturisha ndiyo linafika ukingoni siyo?Sasa itabidi HM Hafif atafute jihadi lingine maana hili la la sasa la kuomba tende mtandaoni litakuwa si dili tena. :)
   
 6. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa hivi nakuja na dili kuuuubwa zaidi la kujenga madrasa.

  Nakutakia Eid Njema
   
 7. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Minal faaidhiyn, wakul'aam wa'antum bikhayr.

  mashkuur ya akhuy Duktuur Hamza na familia.
   
 8. B

  Bull JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2009
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eid Muba'rak, Byebye Ramadhan Muba'rak
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  Sep 19, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  As Salamu Alaikum Wa RahmatuAllahi Wa Barakatuh

  Nawatakia Furaha, Kheri na Amani kwenye sikukuu hii ya Iyd, Waislam wote, Ndugu, jamaa na Marafiki...!


  Baraka na Rehma za Mwenyezi Mungu ziwe kwetu sote kwenye kila jambo la Kheri Insha'Allah.

  Mwenyezi Mungu atukubalie Funga zetu, Swala na du'a tulizokuwa tukiziomba na atusamehewa pale tulipo teleza na kukosea Insha'Allah.

  Mwenyezi Mungu atupe nguvu ya kuwasaidia wale wasio na uwezo, Watoto Mayatima, Wajane, Wasio jiweza, Wagonjwa na wenye maradhi mbali mbali, Wazee na vikongwe Insha'Allah Mwenyezi Mungu awape afya na siha njema na rizki za wasaa!

  Tusisahau kutoa ZAKAATUL-FITWR


  Kutoka Ibn ‘Abbaas (Radhiya Allaahu ‘anhuma) ambaye amesema:

  “...imefaridhishwa Zakaatul-Fitwr kuwa ni twahaara ya mwenye kufunga kutokana na maneno ya upuuzi na machafu... Atakayeitoa kabla ya Swalah basi hiyo ni Zakaah iliyotakabaliwa, na atakayeitoa baada ya Swalah basi hiyo ni miongoni mwa sadaka”

  (Abu Daawuud kwa isnaad iliyo nzuri).


  “Taqabbal Allaah Minnaa Wa Minkum”
  Allaah Azikubali (Swawm na ibada) zetu na zenu Insha'Allah.

  “Iyd Mubaarak”
   
 10. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Idi njema
   
 11. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #11
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  ...Iddi njema ndugu zetu waislamu.
   
 12. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #12
  Sep 19, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Jamaa anaonekana mrafi huyu.
   
 13. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #13
  Sep 19, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160

  Kullu Aam Wa Antum Bi Khair
  Taqabbal Allaah Minnaa Wa Minkum”
  Allaah Azikubali (Swawm na ibada) zetu na zenu, Insha'Allah

   
 14. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  nawatakia wana JF wote EID njema
   
 15. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tusisahau jamani kutoa ZAKAT FITR ili na wale wasio na uwezo waweze kusherehekea sikukuu vizuri.

  Tuwaruhusu watoto na wake zetu na mabinti zetu kwenda kwenye viwanja vya wazi kuswali Swala ya Idi.

  Mungu atupe kila la kheir katika maisha yetu ya duniani na akhera
   
 16. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  kweni nyota na vimondo vimeshaonekana.....? au "makomando vipensi" wao kama kawa...?(ansar suna)?
   
 17. H

  Haki JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2009
  Joined: Jan 14, 2009
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Min-al'aidina Minalfaidhina. Mwenye kuwa na habari za kuandama kwa mwezi wa Eid, atujulishe. Kama ikiwa Dubai, London, New York, Toronto, Beijing, Mecca, Dar nk.

  Eid El Mubarak.
   
 18. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mpaka sasa bado taarifa za mwandamo wa mwezi bado. Loh itabidi tukamilishe sasa.
   
 19. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Nimeconfirm kuwa Mwezi umeandama na inshaalah kesho panapo uzima na uhai itakuwa Eid...

  Mwezi ulionekana CHUKWANI, UNGUJA na nadhani watu wa TANGANYIKA watajumuika na wenzao wa SUUDIA kuswali Eid kesho inshaalah

  wabillahi Taufiq

  [​IMG]
   
 20. I

  Isskia Member

  #20
  Sep 19, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Alhamdulullaah, nadhani imekuwa ni historia katika uislam, kufunga pamoja na kula Eid pamoja, huu ni muunganiko alioupanga Mwenyezimungu
   
Loading...