BMI
Member
- Nov 23, 2016
- 19
- 13
Ndugu wana JF, habar zenu? Natumai mko powa!
Nawatafuta wachezaji wa t/tennis almaarifu ping-pong players wote waliowahi kushiriki mashindano ya Ummiseta kuanzia 2010-2015 toka Tanzania bara.
Ahsanteni sana natumai mpo mnanisikia kuna mpango kazi kwa ajili yenu. Kwa mawasiliano zaidi tuma taarifa zako kupitia issaburian6pcm@gmail.com