Nawatafuta sana watu hawa anaewafaham please

Nawatafuta sana watu hawa anaewafaham please

Ashrafu Jowayr,au Anchu jina la utani huyu bwana nilisoma nae primary nzega tukaachana tukiwa drs la 4 akaelekea Arusha,mwaka 1994

Mwingine ni,

Rozi mallya,au.rozina petro, huyu bint pia nimesoma nae primary alikuwa.swahiba wangu sana,tuliachana miaka mingi alipohama na family yake walihamia moshi,kama sikosei ni kilua vujo,au kilwa vinje kama sijakosea majina,please mtu mwenye kuwafaham hawa watu anisaidie nimewamiss sana,
Kumbe nchi hii ina Kilua vujo na kilwa vinje? Sikuwa nafahamu!
 
kwa habari ya rozina wasiliana na watu waliohitimu moshi tech 2005
 
MKUU MWEKUNDU umetisha unatafuta aliyekutoa bikra huku wewe ukimfukuzia lady doctor. embu iweke vizuri iyo.
 
Back
Top Bottom