Nawatafuta ma best zangu Mbuyuni Primary school Tanga

Urenga One

Member
May 22, 2009
50
1
Habari wakuu, Nilikuwa kimya muda mrefu kwani Chuo kimebana.

Samahani kwa hili limenikuna sana kwani nimewakumbuka marafiki zangu Enzi zile nilisoma nao Mbuyuni primary school Tanga Enzi ya Mwl. Seng'enge na Alivyoamishwa tu akafika Mwl Shinondo sijui mnawakumbukaaaa

Kuna jamaa mmoja alikuwa anataniwa mapopo sasa sijui yupoo???
Haya nawataja wooote kama mpo gado tuwailiane kwani mimi naishi UK nitawapa mchongo ya kuja huku ili tukumbuke ya long time

Aikande Muro, Zawadi Ephram ,Malalia Mmasi , Ombeni , Ivan Minja (Pole kwa kufiwa na wazazi wako) Joyce Yakob Msanga, Selestina Antony, Adela Kapinga( huyu nasikia sister wa Roman) Mapambano Dafael alihamia Mwanza,Shekhe Juma, Ashura Athumani , Zuena Amir, Suleha Madiha, Waziri, Mustafa,Noel Mhoka,Okelai, Patrick Semkiwa, Eliabi Stambuli, Agnes (alikuwa anaishi Tanesco,)Adam Akyoo,Nasoro Kimwaga,Athumani,Salum Mteleke(mtoto wa Mjeda),Mece Mkomwa,Trust Ngonji,Judith,Yusufu JUma, Chediel Msemo(mtoto wa Galanos) Francis Godfrey (huyu anamakeke sana)( mtoto wa line Police FFU),Yu wapo kibao..... Naombeni kama kuna mtu anawajua please send meseji frankrwegoshora@yahoo.com.
Unaweza kutuma na picha nikakukumbuka zaidi.
 
wewe kama unawajua mtajie sio unauliza wa nini. Kwani amekwambia ni mabest zake tena yeye upo uk bado unajadili?????
 
Ah!!! Geoff Mzee vipi? yaani tena yamekuwa hayo. mimi nimekwambia nimesomanao sasa wasiwasi wa nini ningetaja Girl au Boy mmoja ndo ingekuwa ishu wa nini sasa nimetaja timu nzima. Please kama unawajua nijulishe. Taghfadhali!!!!!
 
Yellow pages helps...maybe ikilazimu sana tafuta huduma ya private detective.
 
Urenga One,

Miaka gani hii unazungumzia, manake wengine inawezekana wamebadili majina au ndo hawa wake zetu!. Ebu weka wazi kaka, jina gani na mwaka gani, unajua hata sisi tuliooa wanawake wenye marafiki wa zamani wa kiume kama wewe (clssmate) ni rafiki zako pia mzee (family friend) au "uncle" (watakuita watoto wetu) , ukitoa michongo UK, usitutupe, wanatumia address zetu kama sio C/O Ngoshwe ! tupo pamoja kaka ila weka wazi.

G'dluck
 
Habari Ngoswe!! Mambo vipi?
Mimi nilisoma nao miaka ya 1989 na ilipokuwa imetimu mwaka huu 1993 waliama baadhi na wengineo tulimaliza nao mwaka 1995 sasa ndo nawatafuta kwani nipo UK tokea mwaka 1998 sasa please kama unawajua nijulishe
 
Habari ngwilulupi. Mimi nimeishi Tanga Nguvumali karibu na Delux Bar Huyu maia mamuya alikuwa anaishi wapi?? Kisosora au Chumbageni? Hivi kwa watu wa Tanga Hivi mji ukoje sasa maana nimeondoka tokea 1998 sasa sijui Mkoa kwani mimi Ni Chagga Pipo sasa kule dingi alikuwa RTC si unajua RTC imededi?? sasa dingi hupo Bongo anahangaika na Bisines zake
 
Kwanza kabisa huko UK ni UNITED KINGDOM au UKEREWE?..,Mimi ndiyo mwalimu Seng'enge nakukumbuka wewe kijana ulikopa ubuyu wangu halafu hukunilipa hadi leo,kama vipi nitumie nauli nije huko UK kufuata hela yangu ya Ubuyu.
 
We Kizuka nini? Mzee m-bongotz tukuiteje maana Huyo Mwl Seng'enge ameshafariki miaka hiyo sasa wewe ni nani Ohh Mwenyezi Mungu Mrehemu Mwl Seng'enge huko aliko apumzike salama salmini. Kama ni wewe du basi JF imeingiliwa na Mizimu ndo maana nimeona Hiyo picha yako kama Mzimu. Na mimi Nipo Jimbo la Leeds United Kingdom unataka kuja lakini naogopa wewe kizuka.
Du!! balaa!!!! Msiparamie mambo wakati hujui msingi wake.
 
Wewe vipi Mwl Seng'enge ameshakufa sasa wewe ndo umefufuka. Usidandie magari kwa mbere Jaribu kutulia au we ndo sawa na hiyo picha hujatulia Usikurupuke Sawa m-Bongotz. Mimi naishi Leeds United Kingdom sasa wewe unataka nikutumie nini tiketi na wewe umeshakufa? au umefufuka? Na huyo Mwl Sengenge kama angekuwa hai mpaka sasa angekuwa Mzee sana kwani alibakiza miaka 3 astaafu kipindi kile sasa wewe mbona unadandia gari???
 
Wana JF Tafadhali kama mada haikuhusu unaweza ukakaa kimya kama unajua please riti douni sio kukurupuka kama m-bongotz. NAMPA BIG UP FIRST LADY1 Kwani yeye ameonyesha ukomavu wa JF ndo maana akakoment hivi Thanks sista tuwasiliane nikupe mchongo wa Huku nilipo find my email above. enjoy a day bye
 
Me namtafuta Mwantumu Bakari Mahiza ,nae nilikuwa nae pale Nguvu Mali Tanga!!!!Mwambie nammiss sanaa !!!!
 
Plse, acha jokes when someone is serious. Just help him if you can. Kuna thread ya Jokes huko ndo kwenyewe babu......

Msaada zaidi Mzee Orenga One, just search through search engines where you can find some of them in social network and e- directories like Facebook or Netlog http://en.netlog.com/go/search/
(people's directory) . It is easily to get them in there an in any case contact them directly. Names are of every one like a label or tags for identitity only, it is better for one knowing whose name on face to assist you than would be through general search in here (JF).

Majina mengi unayouliza hapa kama si jina moja basi ni mawili ya Kichaga, hawa ndugu zetu wachanga wa TZ tofauti na huko UK, kama ilivyo kwa Bahaya, majina ya kwanza na ya ukoo ni "copy" paste" yanafanana kama sura zao, huwezi kupata kitu, wataku sanii bure tena umetaja UK mzee, duh!...
 
Habari wakuu, Nilikuwa kimya muda mrefu kwani Chuo kimebana please send meseji frankrwegoshora@yahoo.com.
Unaweza kutuma na picha nikakukumbuka zaidi.

Habari ngwilulupi. Mimi nimeishi Tanga Nguvumali karibu na Delux Bar Huyu maia mamuya alikuwa anaishi wapi?? Kisosora au Chumbageni? Hivi kwa watu wa Tanga Hivi mji ukoje sasa maana nimeondoka tokea 1998 sasa sijui Mkoa kwani mimi Ni Chagga Pipo sasa kule dingi alikuwa RTC si unajua RTC imededi?? sasa dingi hupo Bongo anahangaika na Bisines zake

We Kizuka nini? Mzee m-bongotz tukuiteje maana Huyo Mwl Seng'enge ameshafariki miaka hiyo sasa wewe ni nani Ohh Mwenyezi Mungu Mrehemu Mwl Seng'enge huko aliko apumzike salama salmini. Kama ni wewe du basi JF imeingiliwa na Mizimu ndo maana nimeona Hiyo picha yako kama Mzimu. Na mimi Nipo Jimbo la Leeds United Kingdom unataka kuja lakini naogopa wewe kizuka.
Du!! balaa!!!! Msiparamie mambo wakati hujui msingi wake.

Wewe vipi Mwl Seng'enge ameshakufa sasa wewe ndo umefufuka. Usidandie magari kwa mbere Jaribu kutulia au we ndo sawa na hiyo picha hujatulia Usikurupuke Sawa m-Bongotz. Mimi naishi Leeds United Kingdom sasa wewe unataka nikutumie nini tiketi na wewe umeshakufa? au umefufuka? Na huyo Mwl Sengenge kama angekuwa hai mpaka sasa angekuwa Mzee sana kwani alibakiza miaka 3 astaafu kipindi kile sasa wewe mbona unadandia gari???

Wana JF Tafadhali kama mada haikuhusu unaweza ukakaa kimya kama unajua please riti douni sio kukurupuka kama m-bongotz. NAMPA BIG UP FIRST LADY1 Kwani yeye ameonyesha ukomavu wa JF ndo maana akakoment hivi Thanks sista tuwasiliane nikupe mchongo wa Huku nilipo find my email above. enjoy a day bye

JF kiboko, this is job true true, FL una kesi ya kujibu hapo
 
maia's email is mayyear@yahoo.co.uk, I'm in London
progress.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom