Msaada wa haraka kuwapata marafiki zangu

Urenga One

Member
May 22, 2009
50
1
Habari wakuu, Nilikuwa kimya muda mrefu kwani Chuo kimebana.

Samahani kwa hili limenikuna sana kwani nimewakumbuka marafiki zangu Enzi zile nilisoma nao Mbuyuni primary school Tanga Enzi ya Mwl. Seng'enge na Alivyoamishwa tu akafika Mwl Shinondo sijui mnawakumbukaaaa

Kuna jamaa mmoja alikuwa anataniwa mapopo sasa sijui yupoo???
Haya nawataja wooote kama mpo gado tuwailiane kwani mimi naishi UK nitawapa mchongo ya kuja huku ili tukumbuke ya long time

Malalia Mmasi , Ombeni , Ivan Minja (Pole kwa kufiwa na wazazi wako) Joyce Yakob Msanga, Selestina Antony, Adela Kapinga( huyu nasikia sister wa Roman) Mapambano Dafael alihamia Mwanza,Shekhe Juma, Ashura Athumani , Zuena Amir, Suleha Madiha, Waziri, Mustafa,Noel Mhoka,Okelai, Patrick Semkiwa, Eliabi Stambuli, Agnes (alikuwa anaishi Tanesco,)Adam Akyoo,Nasoro Kimwaga,Athumani,Salum Mteleke(mtoto wa Mjeda),Mece Mkomwa,Trust Ngonji,Judith,Yusufu JUma, Chediel Msemo(mtoto wa Galanos) Francis Godfrey (huyu anamakeke sana)( mtoto wa line Police FFU),Yu wapo kibao..... Naombeni kama kuna mtu anawajua please send meseji frankrwegoshora@yahoo.com.
Unaweza kutuma na picha nikakukumbuka zaidi.
 
Bana sema una bei gani nikupe details za hao unaowatafuta unajua hapa town hao baadhi ni waumini wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom