Nawatafuta hawa viumbe (schoolmates)

Nawatafuta hawa viumbe (schoolmates)

Khaa!leo huendi shule we katoto?
Ebu niletee hilo dodo nilione kama limekomaa,kama bado ntalia ata chumvi kha!umenikosha sana.

Sitaki shule nataka kuolewa,na mimi nijue wanachofanya Juma na Roza ndani!!,
Dodo langu haliliwi na chumvi wala pilipili mana limekwiva, hivyo utajua cha kulifanyia, aidha uli....ye au uli....ne!!!,
Mzima kabisa?
 
Hahahahahaha.......teh teh teh..hahaha..kwi kwi kwi kwi!kwanza shule aina dili cku hizi.Sasa ebu ni PM ili tukamuenzi KANUMBA mtoto mrembo ok?
 
Sawa ila natumia namba ya baba , ukipiga ujitambulishe we nani,unapoishi,salary yako kwa mwezi,umejenga au umepanga,una kiwanja,una gari,una vaa nguo za Tandale au Manzese, una ki-bamia au Mtwan*io?,
Haya namba hii 112.
 
Khaa!
Kwani babako ni"kova"?maana naona hii no kama ya kova vile.
Mie sina kibamia,nina tango la arusha au ogo la jang'ombe.
Jee wewe una kinu au mdomo wa chupa?
 
Kwani akina Lulu wanakuwaga na vinu? ,
Me nna mdomo wa chupa, tena chupa ya Banana wine!!
 
Yalaa!we mtoto.Ebu chungulia pm yako kwanza nimekuwekea private msg kule,kisha utaijibia huko huko alafu rudi huku tuendelee.Jee uwanja emefyekwa au unamajani?
 
Inategemea na wachezaji, ndo mana uwanja unakuwa sio kipara sana wala hauna majani ya kujificha nyoka.
Au unataka nimfiche?
 
Mie napendaga majani ya kumficha sungura ili nionyeshe maufundi yangu!
Au ardhi yako haina rutuba ya kurefusha hilo jani?
 
We ina rutuba.
Kwanza nieleweshe we mautundu yako unayaweza uwanja mpya tu au hata kule shamba la bibi? Maana nako kule kuna rutuba nzuri tu,au hujawahi "kuhudhuria"?
 
Jamani wana Jf, (Maana Jukwaa hili nalo pana) kama kuna yeyote anayewafahamu watu hawa (Nadhani watakuwa wakubwa maana tulisoma nao enzi hizooo S/msingi Ligula 2003) awasiliane na mimi,
1. Asha VanDamme,
2. Amina Ntawanya,
3. Catherine Commando,
4. Fredrick Chungulia,
5. Mshosha Kibila,
6. Chatu Walala,
7. Shombo Mchomeke,
8. Nguruka Kinabo,
9. Kichale Kikukuma na,
10. Palizi Mpannji,
Awasiliane nami,
Unataka kujua mkoa gani, pitia majina vizuri.
Hii itakuwa Ntwara....
 
Hii itakuwa Ntwara....

Uko right mkuu!!! Lakini umesota sana mpaka kuujua mkoa.
Ok tuma salamu kwa watu watatu, kisha Chagua wimbo uupendao na una u-dedicate kwa nani.
Madame B.
 
Back
Top Bottom