Mi mzima kabisa....Sijambo,mzima wewe?
2003, ulikuwa shule ya msingi???
khaaaaa miaka tisa iliyopita ulikuwa primary? Nina mashaka umri wako unaweza kuwa sawa na binti yangu, wa pili
kwa hali inavyojionesha si ajabu wengine wameshawatongoza mabinti zao humu. Manake...!!
We ni mdogo wake MadameX wa humu ndani au?anyway umeacha ziwa lini?Jamani wana Jf, (Maana Jukwaa hili nalo pana) kama kuna yeyote anayewafahamu watu hawa (Nadhani watakuwa wakubwa maana tulisoma nao enzi hizooo S/msingi Ligula 2003) awasiliane na mimi,
1. Asha VanDamme,
2. Amina Ntawanya,
3. Catherine Commando,
4. Fredrick Chungulia,
5. Mshosha Kibila,
6. Chatu Walala,
7. Shombo Mchomeke,
8. Nguruka Kinabo,
9. Kichale Kikukuma na,
10. Palizi Mpannji,
Awasiliane nami,
Unataka kujua mkoa gani, pitia majina vizuri.
khaaaaa miaka tisa iliyopita ulikuwa primary? Nina mashaka umri wako unaweza kuwa sawa na binti yangu, wa pili