Nawatafuta: Evart Mpambije,Mary Kimbuzi nk.

Nawatafuta: Evart Mpambije,Mary Kimbuzi nk.

Mkulia

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2012
Posts
375
Reaction score
95
Habarini wana jamvi. Namtafuta rafiki yangu mpendwa Evart Mpambije,uncle wangu Mary Kimbuzi pamoja na wale wote waliowahi kupitia MAKUTUPORA JKT OPRESHENI KAMBARAGE,B-COY chini ya makamanda Mbalai,Mwiba,Mwashambwa,Chacha nk. Kwa mawasiliano zaidi tumia namba hizi: 0786 062 764 au 0713 878 540. Ni mimi STEPHEN N. MKULIA.
 
Kuna jamaa namfahamu anaitwa mpambije. Huyu ni mwl wa primary. Yuko kigoma. Ni msabato, je ndie huyu unamtafta?
 
Kuna jamaa namfahamu anaitwa mpambije. Huyu ni mwl wa primary. Yuko kigoma. Ni msabato, je ndie huyu unamtafta?

Hapana yeye alisoma uhasibu na nasikia anafanyia kazi Dar es salaam kama mhasibu wa magereza.
 
Back
Top Bottom