walau volunteer mahali then ongea na hr wa kampuni unayotaka kufoji (kuongeza muda ie miez 2 unaweza sema mwaka) experience,then do it,mengine utajua mbele ya safari
anhaa kumbee...
yap,yani usiwe mbumbumbu kabisa..uwe unajua japo kidogo
Umesomea nini? Labda Kuna mtu angetaka free labor hapa na wewe ukafaidika?
nimesoma procurement. nahusika kwenye procurement, logistics, store au warehouse management
pole ndugu yangu jitaidi kutembelea Zoom Tanzania kila siku pamoja na gazet la mwanchi au Daily news! Kitaeleweka tu!