Neema j swai
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 177
- 103
Asante mpenzPole...ngoja wataalamu waje.
Wewe ni Ke au Me, Kama ni Ke Je unaumwa Ngoja sugu la Zinaa? auHabari zenu wapendwa naomben ushaur mwenye kujua hili, ni wik ya Pili hii natokewa na vipele vidogodogo mwilini vinajikusanya vinatengeneza duara kama vle vishilingi vinawasha sana vinakaa kama cku 3 vinakauka vinaacha alama nyeusi vingne vinaibuka vipya ni mwili mzma mgongon na tumbon ndozaid yan ni lama vishilingi cjui yan hata sielew siku znavyozd kwenda naona vnaongezeka msaada jaman, Natanguliza shukran kwa watakao nipa ushaur
Hapana ukivikuna vnakauka vnaacha alama nyeuc vinaendelea vngne kutokaVinatoa maji?
AsantePole sana,Jaribu kuonana na madakitari wa Ngozi, watakusaidia.
If possible Fanya hata kesho kabla mambo hayajawa magumu zaidi.
AsantePole sana
Hapana siumwi mm ni keWewe ni Ke au Me, Kama ni Ke Je unaumwa Ngoja sugu la Zinaa? au
Habari zenu wapendwa naomben ushaur mwenye kujua hili, ni wik ya Pili hii natokewa na vipele vidogodogo mwilini vinajikusanya vinatengeneza duara kama vle vishilingi vinawasha sana vinakaa kama cku 3 vinakauka vinaacha alama nyeusi vingne vinaibuka vipya ni mwili mzma mgongon na tumbon ndozaid yan ni lama vishilingi cjui yan hata sielew siku znavyozd kwenda naona vnaongezeka msaada jaman, Natanguliza shukran kwa watakao nipa ushaur
Sijaenda hospital Bdo nlikuwa naskilizia nione kama vikiendelea ndoniendeUshapima?
Asante vp na vyako vilikuwa vnajikusana makund makund vinatengeneza viduara vdogodogo kama vishilingi?Unaeza kuwa allergy mi nikimla mbuzi ndo nakua ivo nenda hospital
Ushamba mzgo ndugu yang nmeshapga ila cjui natumaje naomba nielekeze alaf niliyenaye hapa naye hajui jinsi ya kutumaNeema.
Naomba upige picha kidoa kimoja nione ambacho bado hakijakauka.
Eifi yako alitokewa na ugonjwa kama huo mwezi uliopita, katumia dawa kapona. Weka picha nione then kama ni wenyewe Nikuelekeze dawa.
Sio Lazima lakiniπ
Yan unakuta sehemu moja vimejitenga vpele vidogodogo sana kama vinne au sita ninavyokuna vinakauka vinaacha doa jeuc vinatoka vingne kama 1 ukikuna kinazaa wenzake kama watano hv vinajtenga yan dizain kama vishilingi kama una vifahamu ila xaxa hv tofaut yake ni vdogo cyoakubwa kama shling naomba nielekeze nitume pc sahvNeema.
Naomba upige picha kidoa kimoja nione ambacho bado hakijakauka.
Eifi yako alitokewa na ugonjwa kama huo mwezi uliopita, katumia dawa kapona. Weka picha nione then kama ni wenyewe Nikuelekeze dawa.
Sio Lazima lakiniπ
Ushamba mzgo ndugu yang nmeshapga ila cjui natumaje naomba nielekeze alaf niliyenaye hapa naye hajui jinsi ya kutuma
Je, umekula carrot kipindi cha hivi karibuni?Habari zenu wapendwa naomben ushaur mwenye kujua hili, ni wik ya Pili hii natokewa na vipele vidogodogo mwilini vinajikusanya vinatengeneza duara kama vle vishilingi vinawasha sana vinakaa kama cku 3 vinakauka vinaacha alama nyeusi vingne vinaibuka vipya ni mwili mzma mgongon na tumbon ndozaid yan ni lama vishilingi cjui yan hata sielew siku znavyozd kwenda naona vnaongezeka msaada jaman, Natanguliza shukran kwa watakao nipa ushaur