Nawashukuru Wana ndugu

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
323
Reaction score
1,128
Kuna michango ya Wana ndugu nilikua naichangisha,huu mwezi wa 6 tarehe 30 inabidi niikabidhi,aisee bby wangu si akafiwa na mama ake na inabidi watoe michango akawa na akiba kidogo Sana ikabidi mimi nichukue michango ya ndugu nimpe Ili afanikishe zoezi la kuzika,

Hapa nasubiri mshahara nilipe kabla ya tarehe thelathini dah nilishukuru Sana Mungu Kwa hili maana na mimi sikua na akiba yeyote zaidi ya miamala ya ndugu na sitaki wajue chochote kuhusu michango yao kama nimetoa msibani,kikubwa ku replace kuwapa pesa zao
 
Hahahaha kaka mimi mdogo wako hapa Eugen, Kumbe ndo unatumia hii ID ?
Basi uwaze japo nikutoe tu wasiwasi hii taarifa lazima imfikie BABA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…