Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Walipokuja na "UZIO" nikasema sasa wametia akili, kumbe ilikuwa ni kumtishia paka kwa mdoli.
Nilipomwona Lissu ana kesi hadi idadi sikumbuki nikadhani watachukua hatua.
Ghafla nikakumbuka karibu kila mbunge wa CHADEMA ana kesi mahakamani za jinai na madai kwa mashauri tofauti.
Mwisho kwa zamu naona mmoja mmoja anaenda kwenye jengo lenye kuta nene na milango ya chuma.
US walianza na Afghanstan wakaenda Iraq wakashuka Libya wakapanda Siria tena, unajua nani atafuata? kila mmoja najua anajua anayefuata ila RUSSIA ndo anachelewesha mpango wa watu.
Cheleweni kwa woga au dharau kumfunga paka kengele, mtakwisha panya wote.
Huu ukanda wa maziwa makuu hautaki siasa za aina yenu CHADEMA, siasa kama zenu zinapaswa zifanyike Zambia, Kenya, Malawi, Ghana, Gambia na kungine.
Kamati kuu ikutane kwa dharura kutazama nini hatma yenu kama chama kikuu cha ushindani.
Ni vyema tukawa na siasa za usitaarabu, uvumilivu, utengamano wa kisiasa, kukubali kushindwa na uelewa kwa pande zote mbili.
Sasa JITU limetoka huko linataka lifanye siasa za hovyo na ubabe peke yake? NO.