Nawashanga sana CCM

Joblube

JF-Expert Member
Mar 4, 2011
369
151
Wana Jf

Kinachonishangaza ni kuwa bado CCM wanafikiri watakamata dola 2015 ndio maana wanapoteza muda kubishana na kutoleana maneno ya kejeli. Hata yule mtu aliyemchafu kama nguruwe bado yumo anangangana ajabu kweli kweli tunaomba Mungu chama chenu kimteuwe EL kazi iwe rahisi kwetu.2015 hamchaguliki na kura haziibiki watu tutalinda kura kuwe na katiba mpya kusiwe na katiba mpya. Mkitumia nguvu hakutakalika. Mtu hupotea njia mara moja haibiwi mtu tena safari hii.
 
Back
Top Bottom