Hadi hadi! Mimi ni mgeni humu ijapokuwa nimekuwa naangalia kwa mbali yale yanayojadiliwa humu. Nimeamua sasa kujiunga ili pia niweze kuchangia mada na kutoa mada pia.
Kama jina langu linavyosomeka basi mtazamie nondo za Neno la Mungu.