Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,894
- 20,375
Wadau, amani iwe kwenu.
Hakuna jambo zuri kama mtu kukupa sifa ya uzalendo kwa nchi yako. Kitendo cha Wakenya kumuona Rais Magufuli kama Trump wa Afrika kutokana na kuipigania nchi yetu kwa kweli ni jambo la kujipongeza. Nichukue fursa hii kuwapongeza Wakenya wenye msimamo wa aina hiyo. Niwaombe pia Watanzania kumuunga mkono Rais wetu ili aendelee kuipaisha nchi yetu kitaifa na kimataifa.