Nawapongeza timu ya Yanga kwa kubeba ubingwa msimu wa 2022

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
13,286
24,003
Mimi kama shabiki wa simba sports club timu bora Tanzania na ni miongoni mwa timu bora Africa nawapongeza sana watani zetu wa jadi Yanga Sports Club kwa kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022.

Ukweli ni kwamba msimu huu yanga mmekua na timu yenye wachezaji waliojitoa kwa jasho na damu kuhakikisha timu inapata matokeo mazuri.

Hongereni sana watani.

Simba the next level.
Simba nguvu moja.
 
Kwa bandiko hili umefuta kabisa kauli zifuatazo

1. GSM anahonga timu pinzani

2. Yanga inatembeza bahasha

Asante kwa kuwa muungwana
 
Kwa bandiko hili umefuta kabisa kauli zifuatazo

1. GSM anahonga timu pinzani

2. Yanga inatembeza bahasa

Asante kwa kuwa muungwana
kombe lenyewe ni kombe basi ni brenda tu ya kusagia jius mnapewa.
 
Hongereni sana Yanga. Mlionyesha nia na hamu ya kubeba kombe mwaka huu hatimaye juhudi zenu zimewapa kombe. Ni wakati sasa wa kujikita kwenye kuboresha kikosi kwa ajili ya mashindano ya Afrika. Kikubwa usajili wenu usiwe wa mihemuko bali ufuate weledi zaidi na ujikite kwenye kujaza nafasi chache zenye mapungufu.
 
Back
Top Bottom