Nawapongeza CHADEMA kwa kupokea ushauri wangu

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
550
786
Juzi niliandika hapa kuwatahadharisha Chadema wasikurupuke kwenye Mikutano ya hadhara wazindue kwenye ngazi ya Taifa,Kanda kuamsha ari ya Wananchi kisha ndiyo waende Level ya chini.

Leo nimeona Taarifa kwa Umma maazimio ya Kamati Kuu yamezingatia ushauri nilioutoa hapa.

Bravo Kamati Kuu CHADEMA kwa usikivu.
 
Wala hawajauona, usijichukulie credits za bure. Chadema ni watu wa principles. Ni wazi wasingeanza mikutano bila kamati yao kujadili. Sasa wewe unataka kujipa cheap popularity.
 
Back
Top Bottom