Nawapenda you real make some people change

Nawapenda you real make some people change

mimireo

Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
7
Reaction score
7
Habari zenu jamani, ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi pia sijambo; mimi ni member wa mda mrefu lakini mara nyingi nilikuwa si mwongeaji bali nimekuwa nikijifunza kupitia post tofauti tofauti.

Real other guys meant alot what they are doing " you real make some people change.

Asante nawatakia siku njema.
 
keep on learning comrade...
funny-quotes-about-learning-6.jpg
 
Mzima kaka mkubwa? Mie niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Ni kweli JF ni shule ya aina yake, lakini bahati mbaya baadhi wameamua kuukuambatia ujinga milele. Hata wawe hapa kwa miaka chungu nzima kamwe hawawezi kubadilika wataendelea kuukuambatia ujinga, uharamia ambao una hasara kubwa katika maisha yetu ya kila siku na nchi yetu pia.

Karibu sana mimireo, kuna vitu vya maana sana humu kwa WANAOTAKA kuviona na wanaotaka kujifunza. maana hata katika ujinga kuna kitu cha kujifunza.
 
Habari zenu jamani, ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi pia sijambo; mimi ni member wa mda mrefu lakini mara nyingi nilikuwa si mwongeaji bali nimekuwa nikijifunza kupitia post tofauti tofauti.

Real other guys meant alot what they are doing " you real make some people change.

Asante nawatakia siku njema.

Hapo kwenye RED na hali halisi:

Join DATE : 18th June 2014
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received2
Likes Given3
 
Nipo Mkuu wangu. Familia na woote wako salama sana Kaka.
Nakubaliana na wewe kiongozi, Wanafilosofia walishasema ''maisha ambayo hayana tafakuri hayana thamani'' Socrates. Tumekua watu wa mzaha mzaha, mazoea mazoea; Sijui ni swala la upeo au ni Mtazamo au ni uwezo ndio wao unaishia hapo.. utanisaidia mkuu.

Salamu sana kwa Halle Berry.

Mzima kaka mkubwa? Mie niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Ni kweli JF ni shule ya aina yake, lakini bahati mbaya baadhi wameamua kuukuambatia ujinga milele. Hata wawe hapa kwa miaka chungu nzima kamwe hawawezi kubadilika wataendelea kuukuambatia ujinga, uharamia ambao una hasara kubwa katika maisha yetu ya kila siku na nchi yetu pia.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kwa kweli hapa jf ni sehemu ya pekee sana,ebu fikiria sehemu ambapo unaweza kupata mawazo ya watu mamia kwa mamia kwa wakati mfupi tena kutoka kaliba tofauti tofauti. Naipenda jf jamani.
 
Hapo kwenye RED na hali halisi:

Join DATE : 18th June 2014
Posts : 3
Rep Power : 0
Likes Received2
Likes Given3

We kweli mgonjwa wa tetekuwanga unajikuna kila sehemu...sasa hapo ndio kutaka sifa au ndo nini?
 
Salaam zako zimefika Mkuu Tized na ahsante sana kwa maneno yaliyojaa busara na hekima tele Mkuu.
Nawatakia jioni njema wewe na wote uwapendao.
 
Last edited by a moderator:
Habari zenu
jamani, ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi pia sijambo; mimi ni
member wa mda mrefu lakini mara nyingi nilikuwa si mwongeaji bali
nimekuwa nikijifunza kupitia post tofauti tofauti.

Real other guys meant alot what they are doing " you real make some
people change.

Asante nawatakia siku njema.

karibu hata ukiwa na stress hapa ndo mwisho
 
mhhhh cku nyingi teeena,,, join date june 2014,,,,!!!!!!! ahhhhh hataaaare hiii yeeena lakini karbu mkuu tupo pamoja
 
mhhhh cku nyingi teeena,,, join date june 2014,,,,!!!!!!! ahhhhh hataaaare hiii yeeena lakini karbu mkuu tupo pamoja

Yaah sio hatare you just think since that time without commenting and other staff to me is long time braza, samahani mimi sio mkuu ni mwanamke
 
Back
Top Bottom