Nawapenda wote

Shout out kwa wadada wazuri wa jf, who wear clothes short enough they can't bend to collect their dignity...nawapenda wote

Shout out kwa wadada wote wa jf mnaovaa foam bra, eye lashes, load of makeup na red lipshine, to make your f.cking face luk sweeter...nawapenda wote

Shout out kwa wadada wote wanaovaa vinguo vinavyoonesha mikucho ya vyupi na ramani ya nyuchi...nawapenda sana.

Shout out kwa wadada wote wa jf mtakaohudhuria night clubs maarufu hapa mjini, making my broke azz weekend kinda smooth...nawapenda wote.

Shout out kwa wadada wote wa jf wenye mentality ya "use what you hv to get what u want"... nawapenda sana

Shout out kwa wadada wote wa jf wenye naught comment to trap men's attention....nawapenda wote

GREAT SHOUTS kwa wadada wote wa jf who are loyal and dont go around opening their legs for any man...nawapenda zaidi
SHOUTS KWA WADADA WA JF NMAOJITAMBUA NA MNARESPECT YOUR DIGNITY.
 
GREAT SHOUTS kwa wadada wote wa jf who are loyal and dont go around opening their legs for any man...nawapenda zaidi

mmmh mkuu hapa naomba tutofautiane... sasa wakibana miguu kwa all men, hizi genye zetu tutazipeleka wapi
 
hahaha kama ni mwenyeji wa tanga naamini utakua unapajua chumvini, au kama ulishawai kusafiri kwenda mombasa via horohoro road icho kibao ndo kilipo

Unahitaji maombi ya Kakobe.... Gwajima lazima atachemka....

Hiyo chumvi ndo sodiam kloraid au ile inayotumiwa na wababa wachoyo wanaopenda kukesha kwenye pango kavu lenye chemchem?? Kuna siku lidume litafia pangoni kwa kukosa oksijen likiwa busy kutafuta chumvi asilia.... malaika watakuwa likizo.

Leo Mafikizolo hajakuCC kwenye hii yuziful sred... dalili ya wazi kabisa kuwa amehamishia kambi kwenye sukari.... chumvi na ilaaniwe na watu wote.
 
Last edited by a moderator:

sio kila siku ananiita, skunyingine najuaga alipo so me namfata mwenyewe 'mwenye meno aambiwi ng'ta'
 
Last edited by a moderator:
Duuuh mzee waku zoom, usha zoom hadi huku na ukajua sija mshtua huyu mtu tabibumtaratibu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…