Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,799
mweeeeeeeeeee!!
hahaha mbona umeshtuka ivyo...
Avator yako tu, inabidi wakupende wewe!
Nawapenda wote wadada wazuri zuri....wenye maneno matamu mmmnnnnh hapo tuu
hahaha eti anasema amekufa juu yenu, ni kweli? Amekufa juu yako...
vipi miss neddy kuna sehemu nimekosea!!!
kama na sura mbovu je unanipenda???
Nawapenda wote wadada wazuri zuri....wenye maneno matamu mmmnnnnh hapo tuu
hahahha kumbe avatar na yenyewe inaweza changia
kiroba ndo kimeandika hapa..,si mtu.
hahaha sie avatar haisadifu yaliyomo hutupendi?