Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,141
Kwanini?Yule Lavalava haendani nao WCB .
Kwanini?Yule Lavalava haendani nao WCB .
Ni wasomi wachache sana wanaopata hela lakini majority wanapeta tujihela! Ndo maana, mwana-bongo flavor wa ngazi ya kati anaweza kupiga 10M/show wakati msomi mwenye bachelor ukiona ameshika 10M kwa mkupuo ambayo ni halali basi ni mkopo wa benkiKumbe duniani kupata hela sio mpaka uwe umesoma pekee.