Roho inaniuma nikivifikiria vifo mfurulizo vya wanamisic nguli waimbaji wa MSONDO MUSIC BAND. hasa TX MOSHI WILLIAM, toka msiba wa mwanamusiki huyu siisikii tena band hiiiiiiii. ndo kusema MOSHI (M/MUNGU AKUREHEM HUKO ULIKOLALA) kaenda na msondo.....?

Ni kweli Msondo imeondokewa na wanamuziki wengi mahiri sana ila msondo bado ipo na inafanya vizuri tu wanadamu changa nyingi tu na hata TX Moshi Junior anafanya vizuri tu. Kama wewe huisikii basi wewe si mfuatiliaji ama si shabiki wa msondo.