Nitamfundisha meditation aende na mrembo wake huko kwenye space kimawazomawazo😀😀😀
mkuu inawezekana lkn uwe sehemu maalum kwenye yale mandege sio hapo alipo jamaa!
gharama utazimudu..?
Jinsi ya kutoka nje ya mwili (Astral Projection)😱 we ulishawahi kwenda..?
Ndhani utaweza ila kupizi itakuwa ngumu kuliko kawaida....hata hivyo hizi ni tetesi tu.Hivi mkiwa kwenye space mnaweza kufanya mapenzi? Nataka niende na wife Wangu huko
JF tunadanganywa vitu vingi sana.nishagaisoma lkn nilivyojaribu nothing happen zaidi ya kupiga mbonji tu!
bao linageuka mercury........Ndhani utaweza ila kupizi itakuwa ngumu kuliko kawaida....hata hivyo hizi ni tetesi tu.
Ndoto haina gharama😀😀😀
mkuu inawezekana lkn uwe sehemu maalum kwenye yale mandege sio hapo alipo jamaa!
gharama utazimudu..?
kudiscover vitu vipya na kuijua elimu hii ni hivyo tuJF tunadanganywa vitu vingi sana.
Back to the new topic, maana ile topic yako ya wanaanga imekufa rasmi.
Ulikuwa unataka kufanya astral projection ili kudiscover vitu vipya, adventure au ulikuwa huna nauli ya kwenda ulikotaka kwenda?
Ngoja nikuletee theory mpya Kali zaidi na rahisi zaidikudiscover vitu vipya na kuijua elimu hii ni hivyo tu
http://wikihow.com/Have-an-Out-of-Body-Experiencenimekaa mkao wa kula
Hivi mkiwa kwenye space mnaweza kufanya mapenzi? Nataka niende na wife Wangu huko
Trump yuko sahihi kabisa. Africa itawaliwe miaka 50+ coz mnawaza ngono tuu..mHivi mkiwa kwenye space mnaweza kufanya mapenzi? Nataka niende na wife Wangu huko