Nawaonea huruma hawa jamaa hapa

Nawaonea huruma hawa jamaa hapa

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
1,224
Reaction score
237
images
images
images

Naambiwa na jamaa yangu ati nchi yetu ni namba nane duniani kwa biashara ya hawa jamaa...du...!
 
The most vulnerable animals "kinana lager"... nchi maskini kabisa, lakini ina nafasi ya 8 kwa ujangili wa wanyama wa polini, si kati ya nchi za AFRICA MASHARIKI, KUSIN MWA JANGWA LA SAHARA, SI AFRICA PEKE YAKE...NI YA 8 DUNIANI!...hatuna viongozi tanzania,tuna vimbulu tu...
 
Hiyo ni rekodi mkuu..
 
Back
Top Bottom