kamanyora
JF-Expert Member
- May 20, 2013
- 209
- 134
Baada ya kumaliza shule nilimpa girlfriend wangu mimba,baadae tulitengana nikamuacha akiwa na mimba ya miezi 7 mm nikaenda masomoni nchini kenya na yeye baadae alitoka kuja dsm kwa dadake,toka hapo tulipotezana,akiwa kwa dadake dar alijifungua mtoto wa kike baada ya kujifungua alikaa kwa mda wa miaka 3 akatokea jamaa mmoja akamuoa na yule mtoto,mwaka jana kwa mara ya kwanza alinipigia cm (cjui namba alipata wapi) akiniambia unajua kama nilikuwa na mwanao?nikamjibu najua,alimueleza na mtoto ukweli wote na kumpa no yangu toka hapo mtoto ananilalamikia anavyoteswa,mama yake alifanya mpango akamtoa mtoto na kumpakiza kwenye gari toka arusha kuja kwangu dar nae akaja tukaandikishana mahakamani kwamba amenikabidhi mtoto(kumbuka alimtoa bila mwanamme kujua)akamwacha mtoto kwangu yeye akarudi arusha kwa mumewe mimi nikamuingiza mtoto shule(yuko form 2),alivyofika kwa mumewe akaanza kumtisha kwamba atamkata mapanga asiporudisha mtoto,mwanamke akanipigia cm kunibembeleza nimrudishie mtoto ili anusuru ndoa yake,nilivyo mwambia mtoto kurudi alikataa kata kata kwamba amechoka na manyanyaso na hawezi kurudi,nilmdanganya kwamba aende atarudi baada ya mwezi toka alivyoenda ananipigia cm akilia na kulalamika kwamba yeye anataka aje kwa baba yake yani kwangu.je nifanye nini?
mtoto ana miaka 16
mtoto ana miaka 16