Nawaombeni mpigie mstari hiyo sentensi isemayo...''kama hakutakuwa na Maelekezo mengi''.... kisha ichambue kwa kutumi Akili Kubwa ili uielewe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
''Yanga wameamua kuwapa Singida Black stars silaha Khalid Aucho na Clatous Chama ambazo hata wao wenyewe zinaweza kuwadhuru siku ambayo watakutana kama hakutakuwa na maelekezo mengi ,Singida wana timu bora sana kama watamuacha mwili apange kikosi chake mwenyewe kwa namna ambavyo anataka yeye ,Singida wanaweza wakawa mabingwa kwa msimu ujao''

Chanzo Taarifa: MwanaSpoti

Kumbe vilabu vyenye Urafiki na Ukaribu na Yanga SC huwa vinacheza kwa Maelekezo Mengi? Acheni tu wawe Mabingwa.
 
Wee jamaa unakuwaga mpuuzi sana. Mimi ni simba lkn hoja zako kuhusu simba hazina weledi ila zina umbumbumbu sana. Nyie ndo mnafanya wote tuonekane mbumbumbu
 
We dogo una hama hama sana team. Tupo wote group la Yanga. Leo tena unasema wewe Simba. Inakusaidia nini kila siku kujidai wewe Simba wakati ni mwananchi mwenzangu?
 
''Yanga wameamua kuwapa Singida Black stars silaha Khalid Aucho na Clatous Chama ambazo hata wao wenyewe zinaweza kuwadhuru siku ambayo watakutana kama hakutakuwa na maelekezo mengi ,Singida wana timu bora sana kama watamuacha mwili apange kikosi chake mwenyewe kwa namna ambavyo anataka yeye ,Singida wanaweza wakawa mabingwa kwa msimu ujao''

Chanzo Taarifa: MwanaSpoti

Kumbe vilabu vyenye Urafiki na Ukaribu na Yanga SC huwa vinacheza kwa Maelekezo Mengi? Acheni tu wawe Mabingwa.
Singida vs Yanga, Aucho majeruhi, chama yuko Zambia matatizo ya kifamilia
 
Back
Top Bottom