SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Katika hawa viumbe wawili mwanamme na mwanamke, mwanamke kapewa uwezo mkubwa wa kujizuia au kutopenda kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu sana na hili nafikiri ni jambo la neema kwao, sababu lina faida nyingi sana ambazo wengi wao wamekua hawajui, sasa nitaongea kidogo sio kiulokole hapana ni general knowledge na ukitaka kui convert kwenda ki imani unaruhusiwa, sasa kutokana na mabadiliko ya kidunia 'mwendokasi'' hata shetani nae amekua mbunifu sana wa mambo yake na kwa kizazi hiki cha sasa amekuja na style moja ambayo inamfaidisha sana na inakamata kila rika na jinsia.
Sasa basi sehemu ambayo anaitumia sana kwa sasa ni hili tendo la ndoa, hili linaonekana lina mafanikio kwa sana, na ndipo hapo hapo anakamatia watu wake wengi, kaingiza nguvu zake nyingi kwenye tendo hilo ili kusitisha au ushindwekufanikisha, nafanikio ya watu wengi yameharibika kupitia hilo tendo unawezakujikuta dream zako zote zinapotea ndipo anapochukua uhalali wako wooote hapo, from masomo, utajiri, mahusiano ya kudumu ya kimapenzi na mume au mke napia ndugu na marafiki, ile kutenda tendo hilo hapohapo nguvu za MUNGU hua zinaondoka unabakia wewe na devil na hapo sasa ndio Devil anapochukua nafasi ya kuweza kukuhukumu atakavyo ndio mana unakuta watu wengu especial vijana tuna stragle na maisha wengi wetu sababu kuu ni hio, sasa nimeona nishee na vijana wenzangu kuhusu hili unaweza fanya majaribio acha kabisa ngono then try kuomba either ni kazi au ufaulu shule utaniambia.
Na kwa wanawake nimewalenga nyinyi zaidi kwa maana mmepewa huo uwezo wa ku persist muda mrefu bila hilo tendo na muitumie hio nafasi ya kutofanya ili mfanikiwe na matokeo yake mtayaona haraka sana hio ndio faida kubwa kuliko zote mafanikio ya kimaisha ukiacha hizo nyingine ambazo ni usual zinajulikana kama UKIMWI, other magonjwa kufumaniwa na mengineyo, mimi naandika hili sio kama msafi kivile but ninajaribu kujizua kadri Mungu atakavyo nisaidia kuyashinda haya majaribu, na kwakweli wakati wengine wanalia na Magufuli eti hela hamna mtaani mi naona hela zipo tu kwa account cos matumizi nayotumia ni yakawaida ambayo hayamalizi pesa compare na ku deal na wanawake nadhani mmenielewa.
Only fanya na mtu mlio oana (ndoa)