ofcourse sometimes kunakuwaga na sababu za msingi ila sa nyingine ni visirani vyetu tu na kukomoana.ukiona hvyo mna li ugomvi lenu linafukuta, haiwezekani akununie na kukunyima bila sababu
Huu ndo uungwana, hongera kwa kuwa mkweli Sister! Natamani ningekupa zawadi ya x-mass kwa uungwana wako, natumaini ni funzo kwetu sote.ofcourse sometimes kunakuwaga na sababu za msingi ila sa nyingine ni visirani vyetu tu na kukomoana.
Nijuavyo mm mwanamke aliyempenda mmewe mpaka kuolewa nawe na mwanamke muelewa anayeijua thaman ya ndoa yake hawezi from no where akanza vituko km hivyo,lzm kuna chanzo cha tatizo,watu tunatofautiana km mwanaume umeshajua mapungufu ya mkeo tafuta namna kumweka sawa mapema na kuwa na mawasiliano mazuri na kuwa mnamaliza tofauti ndogo ndogo zinazotokea kabla hayajawa makubwa na kumpelekea kuanza vituko na mwanaume kuchiti km suluhisho!wanawake huwa hawafanyi jambo bila sababu!
Si unaona hawana majibu ya kutoa.Umewagusa mwana.Wanawake wa cku hz wana mapenz ya kimagumashi
Aksante.ukiona hvyo mna li ugomvi lenu linafukuta, haiwezekani akununie na kukunyima bila sababu
ofcourse sometimes kunakuwaga na sababu za msingi ila sa nyingine ni visirani vyetu tu na kukomoana.