CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kitambo kimepita sijatia magulu humu ndani kwa wenyeji na wageni pokeeni salamu zangu..
Nimewamiss sana ila...nilikuwa busy kwenye kampeni ya kutunisha mfuko wangu kama mjuavyo jina linasadifu haina haja ya kujielezea kwamba mimi ni nani..
Salamu ziwafikie Mphamvuwangu wa moyo, Arushaone, Erickb52, watu8, mimisa nmekumis hata nashindwa kuelezea, charminglady, Ruttashobolwa, Mamndenyi, Mtambuzi, Babu Asprin, manoah, Bishanga, Mtambuzi nalimiss sana somo lako la kutambua tabia za watu kwa kuwatizama nyuso zao
Jamani ni wengi kama sijakutaja si kwamba sijakumiss hapana..
You mean a lot to me nawapenda wote
Hata sie tulikumiss.... haya najua mfuko ushatuna tugaiee basssiiiiiiiiiii